Miliki Biashara ya WiFi Popote Tanzania

Wekeza kwenye mitambo, uza vocha za internet. Sisi tuna-manage mfumo 24/7. Wewe unapata 70% ya mauzo yote.

Maeneo Yanayofaa Zaidi

BusStops Shopping Malls Street Corners Hostels Markets

Chagua Kifurushi Chako

Kila kifurushi kinakuja na mfumo wa vocha, installation, na management ya 24/7 kutoka STALAC.

TIER 1: BASIC
700,000 TZS

Up to 25 Users (Street Corners & Rural)


  • Remote 24/7 Management
  • Voucher Sales System
  • Monthly Revenue Report
  • 70% Profit Share
Wekeza Sasa
Popular Choice
TIER 2: BUSINESS
1,200,000 TZS

Up to 60 Users (Bus Stands & Markets)


  • Advanced Hardware
  • 60 Concurrent Connections
  • Remote 24/7 Management
  • 70% Profit Share
Wekeza Sasa
TIER 3: ENTERPRISE
2,000,000 TZS+

Up to 100+ Users (Malls & Apartments)


  • High-Traffic Hardware
  • 100+ Concurrent Connections
  • Full Network Support
  • 70% Profit Share
Wekeza Sasa

Ukweli ni Huu:

Hii siyo "Quick Money." Mapato yako yanategemea wingi wa watu (traffic) kwenye eneo lako. Sisi tunahakikisha mtandao uko online 24/7 na mfumo wa vocha unafanya kazi vizuri. Wewe kama mwekezaji, unatoa mtaji na eneo, sisi tunatoa utaalamu.

STALAC WiFi Partnership